Cucumis - 무료 온라인 번역 서비스
. .



원문 - 스와힐리어 - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

현재 상황원문
이 본문은 다음 언어들로 가능합니다: 스와힐리어브라질 포르투갈어

제목
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
번역될 본문
mahyla에 의해서 게시됨
원문 언어: 스와힐리어

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
2008년 6월 18일 02:31