Cucumis - Gratis översättning online
. .



Originaltext - Swahili - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

Aktuell statusOriginaltext
Denna text är tillgänglig på följande språk: SwahiliBrasiliansk portugisiska

Titel
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
Text att översätta
Tillagd av mahyla
Källspråk: Swahili

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
18 Juni 2008 02:31