Cucumis - Huduma huria ya utafsirishaji mtandaoni
. .Cucumis - Usaidizi

Hapa utayapata Maswali Yaulizwayo Sana (MYS) na habari ambazo ungependa kujua kuhusu Cucumis.

Tafadhali chukua muda wako uzisome kurasa hizi kabla ya kutafsiri au kutupea nakala ili itafsiriwe.

Ili kupeana nakala mpya itafsiriwe, lazima uwe mtumiaji aliyejisajili nasi.

Inafaa utilie maanani kuwa tovuti hii si chombo cha kutafsiri moja kwa moja. Mara tu unapoomba tafsiri, lazima usubiri hadi itafsiriwe na mwanachama.

Hapa cucumis.org, tunafurahi kushirikiana. Tafadhali tenga dakika 10 za wakati wako kuifanyia jamii yetu tafsiri moja fupi.

Bado yajengwa...